The House of Favourite Newspapers

Hatua 6 za Kuwa Milionea Ndani ya Sokabet

0

 KAMPUNI ya kubashiri matokeo ya Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet wanaendelea kuteka soko la washiriki wa mchezo huo kwa nguvu. Hizi ni dondoo mbalimbali kuhusu kampuni hiyo na jinsi ya kushiriki ili kuwawezesha washiriki wapate fedha ndani ya muda mfupi pindi wanapotabiri na kupatia matokeo ya michezo mbalimbali:

Ijue tovuti ya Sokabet

1. Fungua na ingia katika tovuti ya Sokabet ambayo anuani yake ni www.sokabet.co.tz humo ndani utapata kila kitu.

2. Namba ya bahati 335757

Namba ya kampuni ni 335757 hii ndiyo unatakiwa kuiweka kichwani, utaitumia kuingiza fedha katika akaunti yako kisha unaweza kubet katika kipengele chochote unachotaka.

 

3. Jiandikishe bure

Baada ya kuingia www.sokabet.co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

4. Ingia kwenye akaunti

Ukishamaliza kujiandikisha rejea sehemu ya ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umefungua akaunti yako. Ukirejea baadaye kufungua tovuti, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba ya simu kisha namba ya siri tu.

5. Ingiza fedha

Kwa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’.

Baada ya hapo ingiza kiasi unachotaka mfano Sh 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Sokabet’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

6. Anza kubet kwa Sh 200 tu

Ukimaliza kujaza fedha kwenye akaunti yako ya Sokabet , hapo utakuwa tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri kiwango cha chini kabisa kikiwa ni shilingi 200 (mia mbili tu). Ukitatizika kwa chochote wasiliana na huduma kwa wateja kwa namba 0654705555.

Vipengele kibao

Ndani ya Sokabet kuna michezo mingi ambayo inaweza kukuwezesha kubet baadhi ni american football, baseball, kikapu, kriketi, golf, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.

Sokabet Jackpot ndiyo baba lao

Katika kipengele cha Sokabet Jackpot unaweza kushinda zaidi ya shilingi milioni 100 ikiwa utapatia matokeo ya michezi 13 tu huku wewe ukiweka Sh 1,000 (buku tu)

Kutakuwa na mechi 3 za ziada ambazo zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika, lakini zote zikichezwa bila tatizo, basi hazitaathiri zile 13 ambazo ndizo muhimu.

Ukikosea unaweza pata milioni 5

Ikitokea umekosea kubeti michezo kadhaa bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha. Mgawanyo sahihi wa fedha za ushindi kwa mechi utakazopatia upo hivi:

Mechi Fedha utakazopata

13/13 Sh 100,000,000

12/13 Sh 5,000,000

11/13 Sh 2,000,000

10/13 Sh 1,000,000

9/13 Atashiriki bure Jackpot inayofuata

Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App

Kumbuka kuwa ili kujiunga na kubashiri ili kuvuna fedha unatakiwa kutembelea tovuti ya www.sokabet.co.tz ambapo humo ndani una nafasi ya kushinda hadi shilingi milioni 100 kwa kuweka Sh 1,000 tu.

Leave A Reply