The House of Favourite Newspapers

Hiki Hapa Kikosi Bora cha Msimu wa 2019/20

0

USIKU wa kuamkia leo, kwenye Ukumbi wa Mlimani City zimefanyika sherehe za tuzo kwa wachezaji ndani ya Ligi Kuu Bara 2019/20.

Na hiki ndio kikosi bora cha msimu wa 2019/20 huku Simba wakitoa wachezaji sita kilichotangazwa katika tuzo hizo; golini Aishi Manula (Simba) , mabeki Nico Wadada (Azam), David Luhende (Kagera Sugar) Bakari Mwanyeto (Coastal Union), Sergie Wawa (Simba), viungo  Zawadi Mauya (Kagera Sugar), Lucas Kikoti (Namungo), Clatous Chama (Simba). Na washambuliaji ni Meddie Kagere (Simba), John Bocco (Simba), Luis Miquissone (Simba)

Leave A Reply