The House of Favourite Newspapers

HISTORIA YA PEMBE: Alipoanzia, Alikata Tamaa, Urafiki na Senga – NOW I’M HERE – VIDEO

Katika kipindi cha ‘NOW I’M HERE’ Wiki hii tumemtembelea Msanii Mkongwe wa Filamu nchini, Yusuph Kaimu maarufu kwa jina la Pembe, mmoja kati ya wasanii ambao wamedumu kwenye vichekesho na kujijengea heshima kubwa.

Pembe ambaye mara zote kwenye filamu au vichekesho vyake utamuona akiwa na swahiba wake Senga, amefunguka mengi kuhusiana na kazi zake, Mafanikio aliyoyapata kupitia sanaa kuanzia ameanza mpaka leo.

Comments are closed.