The House of Favourite Newspapers

Hongera Jamal Hashim kwa Kuhitimu

0

 

 

Mwanahabari wa AzamTV, Jamal Hashim hii leo amekuwa miongoni mwa wahitimu wa Stashahada ya Juu ya Diplomasia na Uchumi “PostGraduate Diploma” kutoka Chuo Cha Diplomasia nchini.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi ndiye aliyewatunuku wahitimu wote stashahada hizo.

Leave A Reply