The House of Favourite Newspapers

IBADA YA KUMUAGA MAMA SHIGONGO, BUPANDWAMHELA – PICHAZ

Shigongo akisoma wasifu wa marehemu mama yake, Bi. Asteria Kahabi Kapela wakati wa ibada hiyo.

IBADA ya kumuaga mama mzazi wa Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group. Eric Shigongo, Bi. Asteri a Kahabi Kapela,  imeanza kufanyika nyumbani kwake kijiji cha Bupandwamhela, Sengerema Mwanza,  ambako atazikwa leo.

…Akiendelea kutoa wasifu.
Waomboleazji wakiwa msibani.
Wajukuu wa marehemu wakiwa kwenye ibada.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.