The House of Favourite Newspapers

Idris Aingia Kwenye Orodha ya Dunia kwa Kutengeneza Pesa Ndefu Instagram

0

Mchekeshaji @idrissultan ndiye Mtanzania pekee ambaye ametokea kwenye orodha ya mastaa wa dunia ambao wametengeneza pesa ndefu kupitia mtandao wa instagram mwaka 2021 (Instagram Rich List), kwa mujibu wa tovuti ya #HopperHQ.

 

Idris Sultan mwenye jumla ya wafuasi 7M yupo kwenye nafasi ya 108, akitajwa kutoza kiasi cha ($42,800) TZS. Milioni 99.2 Ku-post Tangazo la Biashara.

 

Idris amewaburuza wasanii wote wakubwa wa Bongo wakiwemo Diamond, Alkiba, Harmonize na mastaa wengine huku akishika nafasi ya nne kwa Bara la Afrika.

 

Leave A Reply