The House of Favourite Newspapers

Idris Sultan Akamatwa na Polisi Dar

0

Mchekeshaji huyo ambaye aliwahi kuwa mshindi wa kipindi cha televisheni cha uhalisia cha ‘Big Brother Africa’ Idris Sultan leo Mei 19, 2020 anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar na anahojiwa katika Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Anashikiliwa baada ya kuwasili Kituoni hapo kufuatia wito wa Polisi na ainadaiwa atahamishiwa Polisi Makao Makuu

Oktoba 2019, alikamatwa kwa kuhariri picha ya Rais Magufuli na alihojiwa kwa saa 5 katika Kituo cha Polisi Central, kisha kuachiwa kwa dhamana

Aidha, Idris aliyewahi kushinda tuzo ya Big Brother Africa mwaka 2014, Machi mwaka huu alifikishwa katika Mahakama ya Kisutu kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni

Leave A Reply