The House of Favourite Newspapers

Infinix Kusherehekea Msimu wa Wapendanao na Wateja Wake

0

Mwaka 2021 unazidi kuwa mwaka mzuri kwa wateja na wadau wote wa simu za Infinix. Hii inajidhihirisha kwa kufuatilia mwenendo wa kampuni ya simu Infinix Mobility kwani mnamo tarehe 6/2/2021 ilizindua promosheni yenye kuashiria upendo baina ya Infinix nawateja wake.

Kwa mujibu wa msemaji wa kampuniya Infinix Aisha Karupa, alisema katika msimu huu wa valentine Infinix imekuletea promosheni ya Infinix Hot Valentine ambayo inamuwezesha mteja atakayenunua simu ya Hot 10 play kupata nafasi ya kwenda dinner kwenye hoteli ya kifahari na mtu ampendayeā€¯.

Infinix HOT 10 play ni simu mpya katika toleo la HOT na kama inavyofahamika toleo la HOT kutoka Infinix ni toleo lenye sifa nyingi ambapo sifa yake kubwa ni uwezo wa simu hiyo kudumu na chaji kwa muda mrefu. Infinix HOT 10 play ni simu yenye betri ya ujazo wa mAh 6000, Memory iliyojengewa kwa ndani yenye ukubwa wa GB2/32 GB4/64na kamera yenye 8MP za selfie na 13MP nyuma.

Infinix HOT 10 play sasa inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania, tembelea sasa katika maduka yao ya simu katika msimu huu wa Valentine ujipatie zawadi papo hapo kama vile vikombe vya Infinix, kifurushi cha zawadi za valentine na mlo wa usiku katika hotel yakifahari kwa mteja atakayenunua HOT 10 play mbili kwa pamoja.

Tembelea https://www.infinixmobility.com/tz/ .

Kwa Mawasiliano;

0744606444

Leave A Reply