The House of Favourite Newspapers

Infinix Waja Na #Gusanisha Tsh.1,000,000 Hii Hapa Mjulishe Na Mwenzako

0

Upo tayari kupokea kitita cha Sh. 1,000,0000 na zawadi nyengine kedekede kutoka Infinix Mobile Tanzania?

https://www.instagram.com/p/CtMBe3hNYuq/

Kampuni ya simu Infinix inawajuza wateja wake na wapenzi wa simu janja kuwa jumamosi hii yani kesho watakita kambi pale mjini Kariakoo kwa ajili ya promosheni kubwa ya #Gusanisha Ijae ambapo mteja akifanya manunuzi ya NOTE 30, NOTE 30 pro au NOTE 30Vip ataondoka na zawadi za papo hapo kama vile airflier, Microwave, Blenda na nyengizo ikiwemo kitita cha Sh. 1,000,000pia kutolewa siku ya kesho.

Promosheni hii ya #GusanishaIjae itaambatana na shamra shamra mbalimbali ikiwemo burudani ya kudance, kucheza na vitairi vya miguu, mashindano ya kunywa soda lakini pia itahudhuriwa na Msanii maarufu wa kudance aliyejishindia Tuzo ya Dancer bora wa ngoma za kizazi kipya kwa Mwaka 2022-2023 almaarufu @chino_kidd7.

Ikumbukwe series hii ya Infinix NOTE 30 ilizinduliwa rasmi June 2 na tangu kuzinduliwa kwake simu hii mahiri hasa kwenye kipengele cha fast chaji ikiwa na WATT68 na wireless fast chaji ya WATT15 imeweka picha nzuri kwa kampuni hii ya simu na kuendelea kushikilia taji la kampuni nambari moja duniani yenye kuzalisha simu zenye kudumu na chaji kwa muda mrefu na kuokoa muda wakati wa uchajishaji.

Sifa nyengine za simu hii ambayo itapatikana kwa punguzo kwa siku ya kesho ni 108MP Master Triple camera, 256GB+16GB RAM, AMOLED Display. Kesho si yakukosa kufika kariakoo.

Piga0745170222 kwa huduma ya haraka.

Leave A Reply