The House of Favourite Newspapers

Mama na Wanaye Waambukizwa VVU -Video

0

GLOBAL TV imefanya mahojiano na mama anayeishi na ugonjwa wa Ukimwi kwa zaidi ya miaka 10, lakini amechiwa mzigo mkubwa sana na watoto wake wawili ambao wamewatelekeza watoto na kuondoka.

 

Mama na wajukuu zake hao wanaishi Bukoba Mjini, mkoani Kagera.

Leave A Reply