HabariKitaifa Askofu Gwajima Ambwaga Halima Mdee Kawe – Video Last updated Oct 30, 2020 0 Share Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa ndiye mshindi wa jimbo hilo kwa kupata kura 194,833 na kumshinda Halima Mdee wa Chadema aliyepata kura 32,524. Related Askofu-Gwajimahalima mdee 0 Share