The House of Favourite Newspapers

JPM AENDESHA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akiongea kabla ya ufunguzi wa  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018.

 

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018.

 

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018. PICHA NA IKULU.

Comments are closed.