The House of Favourite Newspapers

JPM Aomba Ngoma ya Stamina Ft. Prof. Jay – Video

0

RAIS John Magufuli, ameufagilia na kuomba apigiwe wimbo ulioimbwa na Professor Jay na Stamina, wenye ujumbe unaomsema baba aliyeshindwa kutimiza majukumu yake kwa mtoto unaoitwa Baba.

 

amebainisha kuvutiwa na mashairi ya wimbo huo leo Februari 25, 2021, Jijini Dar es Salaam, wakati akizindua jengo la Jitegemee na Africa Magic Group Limited.

 

“Mimi nataka muziki mmoja nafikiri umepigwa na Professor Jay, unazungumzia juu ya mtu aliyekwenda kumsema baba yake, akasema nazungumza na wewe sijui unaitwaje? Huu wimbo una message (ujumbe),” alisema  Magufuli.

Leave A Reply