JPM Apokea Taarifa ya Utendaji wa Takukuru – Video
Mbali na fedha hizo, amesema taasisi hiyo pia imefungua kesi 495 za rushwa katika kipindi cha mwaka 2017/2018 ikilinganishwa na kesi 435 zilizofunguliwa mahakamani mwaka 2016/2017.
Kamishna Athmani amesema hayo wakati akiwasilisha kwa Rais John Magufuli ripoti ya utendaji kazi wa Takukuru leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Comments are closed.