The House of Favourite Newspapers

Jux: sikumpata vanessa kiulaini

1

BongoCeleb_20151017032058MWANDISHI WETU
MKALI wa Miondoko ya RnB Bongo, Juma Jux, amesema wakati anaanza kumsarandia kimapenzi staa mwenzake, Vanessa Mdee ‘V Money’ alihangaika sana na haikuwa kazi rahisi.

Jux alisema ili kuhakikisha anamweka mtoto Vanessa kwenye ‘line’, alianza kwa kuomba kidani cha mkononi.
“Siyo mchezo, nilizunguka kweli. Nilianzia kwa kuomba kidani, akawa haelewi somo, nikahangaika kweli lakini mwishoni nilifanikiwa na nipo naye hadi leo,” alisema Jux.

1 Comment
  1. Jembe says

    Wakati yeye akihangaika kumpata kuna wenzake tulimpata kiulaini kabisa, ila tulihangaika kumkwepa asitubughudhi baada ya kula mzigo.

Leave A Reply