The House of Favourite Newspapers

KALI YA MWAKA! Jamaa Avaa Mikanda Sita, Suruali 1 Kwa Miaka 5 – (Video)

KALI YA MWAKA! Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kijana mmoja mkazi wa Mbagala aliyefahamika kwa jina la Samiru a.k.a Mikanda Sita anayedai ni mbunifu wa mavazi anayeshangaza wengi kwa kuvaa mikanda sita kwenye suruali moja.

 

Ni takribani miaka 5 sasa kijana huyo anavaa anaishi na staili yake hiyo ya kuvaa mikanda sita kiunoni katika suruali moja.

 

Kushuhudia kijana huyo na tukio zima #InstallGlobalPublishersApp sasa
Android kupitia Google Play ==>https://t.co/4I9Eh8ZI7n
iOS kupitia AppStore ==>https://t.co/Rx7urk7Wsh

Comments are closed.