The House of Favourite Newspapers

Kama Movie Shoo ya Rayvanny Azamka, Aingia na Madansa 50, Ndinga 12-Video

0
            Msanii Rayvanny Akifanya makamuzi kwenye Tamasha la Azamka

Msanii  Rayvanny ambaye anafanya vizuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania Agosti 14 amefanya balaa zito kwenye tamasha la Azam maarufu kama Azamka lilofanyika katika uwanja wa Chamazi Complex nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

 

Rayvanny alifunika zaidi kwenye shoo hiyo baada ya kuingia na msafara wa magari 12 na madansa 50 na kuibuua shangwe kwa mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha hilo.

 

Tamasha hilo lilihitimishwa na mchezo wa kirafiki kati ya timu ya  Azam Fc dhidi ya Zesco United ya Zambia na kumalizika kwa suluhu.

 

Leave A Reply