The House of Favourite Newspapers

Kamwe: Nimeshuhudia Ukubwa wa Yanga Kwa Muda Ambao Nimefanya Kazi – Video

0
Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe akifanya mahojiano katika kipindi cha Krosi Dongo kinachoruka kupitia Global Radio siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu na nusu mpaka tano kamili.

 

AFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo Oktoba 4, 2022 amesema marafiki wake wanamchukulia tofauti tangu alipojiunga na klabu hiyo akibainisha kuwa wamekuwa wakiishi naye tofauti na walivyokuwa wakiishi naye mwanzo.

 

Ally Kamwe amebainisha hayo kwa kudai kuwa hali hiyo imetokana na namna ya ukubwa wa taasisi anayoifanyia kazi kwa sasa.

 

Pia amesema kwa muda mfupi wa siku tatu ambazo amefanya kazi kama Afisa Habari ameshuhudia ukubwa halisi wa klabu hiyo kwani kuna mabadiliko makubwa yametokea katika Maisha yake na tasnia pia.

Ally Kamwe akiendelea kueleza jambo.

Leave A Reply