The House of Favourite Newspapers

Kanye Awatuhumu Universal Kuachia Albamu Yake Bila Ridhaa

0

Baada ya album ya DONDA kutoka,mmiliki wa album hiyo, Kanye West amefunguka kuwa Album yake ya DONDA imeachiwa na kampuni ya Universal Music bila idhini yake.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kanyewest amewatuhumu Universal kuachia album hiyo wakati hajatoa baraka zake za mwisho na hii inatokana na wimbo wa Jail 2 kutowekwa kwenye album.

 

Inaonekana wajomba walichoka kupigwa danadana,Mitandaoni kuna utani unaendelea kuwa Drake kainunua Universal na yupo nyuma ya huu mchongo.

Leave A Reply