The House of Favourite Newspapers

Katibu Mkuu Kiongozi Akaribishwa Rasmi Ikulu

0

IMGL2836Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.

IMGL2833

IMGL2830Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akikatibishwa Ofisini kwake na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam jana.

IMGL2825Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam.IMGL2663Balozi Eng. John Kijazi akisaini kitabu cha wageni.
IMGL2791IMGL2781Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam jana.

IMGL2698IMGL2686Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es salaam jana.

IMGL2681
Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ikulu Jijini Dar es salaam jana.

IMGL2683Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es salaam jana, Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.

PICHA NA IKULU.

Leave A Reply