The House of Favourite Newspapers

Kauli ya Roma Yazua Gumzo

0

KAULI ya staa wa muziki wa Hip Hop, Ibrahimu Musa ‘ROMA’ kwamba ni ana miezi sita hajashiriki tendo la ndoa na mkewe, imezua gumzo la aina yake.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Roma ambaye yupo nchini Marekani aliandika kuwa ni hajawahi kukaa muda mrefu kama ilivyo sasa miezi sita hajafanya tendo la ndoa na mkewe, jambo ambalo lilizua mjadala wa aina yake mtandaoni humo huku wengine wakimpinga kwamba siyo kweli.

 

“Ukiona hivyo ushachepuka fa### wewe, hapo unajihami tu hakuna cha uaminifu wala nini,” ilisomeka moja ya komenti chini ya maneno na picha ya mkewe aliyoweka Roma kwenye ukurasa wake.

 

 

Leave A Reply