The House of Favourite Newspapers

KCMC Yafungukia Mgomo wa Madaktari

0

HOSPITALI  ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro, kupitia kwa msemaji wake, Gabriel Chiseo, imeweka wazi kuwa hakuna mpango wa kugoma kwa madaktari kwenye ngazi zote na wanaendelea na majukumu yao kama kawaida.

 

“Madaktari kwenye ngazi zote wote wako kwenye majukumu yao ya kawaida, hakuna mwenye wazo wala mwenye nia ya kufanya mgomo,” amesema Chiseo na kuongeza: “Kwenye vifaa vya PPE si kweli kuwa tumevikosa ama kuna uhaba, hata kama kuna vifaa tunavikosa sisi huwa kuna namna tunavipata na hili halijawahi kutokea katika hospitali ya KCMC.”

 

Leave A Reply