The House of Favourite Newspapers

Kijana: Nilizaliwa Bila Mikono Wala Miguu, Niliongea Siku Hiyo Hiyo – Video

0


KATIKA kipindi cha ‘GLOBAL JAMII’ wiki hii tumefanya mahojiano na kijana, Abdul Urio, ambaye ni mkazi wa Mbezi jijini Dar, mwenye ulemavu wa mikono na miguu.

 

Abdul amesimulia historia yake ambapo alizaliwa akiwa mlemavu hivyo hivyo, lakini siku anazaliwa lilitokea tukio la kushangaza kwani aliweza kuongea hapo hapo na kutamka maneno haya.

 

Leave A Reply