The House of Favourite Newspapers

Kikwete Aongoza Mamia Kuuzika Mwili wa Athuman Msengi, Kisutu

Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye gari makaburini hapo.

RAIS Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amewaongoza mamia ya waombolezaji katika kuaga na kuuzika mwili wa aliyekuwa mpiga picha wa magazeti ya Serikali, Athumani Hamisi Msengi ambaye amezikwa katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar.

 

 

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akisalimiana na waombolezaji.

Msengi alifariki jana Januari 4, 2017 asubuhi katika  Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.

Wanahabari na waombolezaji wakiwa makaburini kwa ajiri ya maziko hayo

 

Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Msengi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu.

 

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (mwenye kanzu nyeusi) akiwa na waombolezaji wengine katika mazishi ya Msengi.

 

Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally (wa pili kushoto) akiwa na waombolezaji wengine wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu kupeleka eneo ka kaburini.

 

Rais Kikwete (kulia) akiwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na waombolezaji wengine msibani hapo.

 

Waombolezaji wakiweka mchanga kaburini.

 

Shughuli ya mazishi ikiendelea.

Picha na Denis Mtima | GPL

======

Utajiri wa Mzee wa Upako Unatisha! Amtaja Magufuli

Comments are closed.