The House of Favourite Newspapers

Kili Queens Yapigwa 2-0, Kenya Yatwaa Cecafa ya Wanawake

Kikosi cha timu ya taifa ya Kenya cha wanawake kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania.

Ushindi huo umepatika leo kunako Uwanja wa Azam katika michuano ya CECAFA ikiwa ni mchezo wa fainali.

Ushindi huo umewapata Kenya taji la Cecafa ambalo lilikuwa linatetewa na Tanzania ama Kilimanjaro Queens.

Mabao ya Kenya yamewekwa kimiani na Jentrix aliyeingia kambani mara mbili huku moja akifunga kwa njia ya penati.

Comments are closed.