The House of Favourite Newspapers

Kinachoendelea Msiba wa Ndikumana Nyumbani Kwa Uwoya (Pichaz + Video)

0
Staa wa Bongo Muvi, Irene Uwoya (kushoto) akilia kwa kufiwa na mumewe nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar es Salaam leo.
Waombolezaji wakimfariji Uwoya.
Baadhi ya waombolezaji waliofika msibani.
Waombolezaji wakiwa hawaamini kilichotokea.
Vyakula vikitayarishwa kwa ajili ya msiba.
Waombolezaji wakiwa katika huzuni.
Mwonekano wa nje wa nyumba anayokaa Uwoya.
Waombolezaji wengine waliofika kwenye msiba huo.

MASTAA na watu mbalimbali wanaendelea kufika nyumbani kwa mwigizaji wa filamu Irene Uwoya, Sinza-Mori, jijini Dar es Salaam kuwafariji wafiwa kutokana na kifo cha aliyekuwa mume wa staa huyo, Hamad Ndikumana, aliyefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao Rwanda kutokana na maradhi mbalimbali.

Kabla ya kifo Ndikumana alikuwa kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports ya nchini humo  akiwa pia amewahi kuchezea timu mbalimbali za soka barani Afrika na Ulaya.

Kwa Irene Uwoya ameacha mtoto mmoja aitwaye Krish.

Leave A Reply