The House of Favourite Newspapers

Video: FAHAMU A-Z KUHUSU MAISHA HALISI YA DKT SHIKA

0

Dkt. Shika ambaye alishikiliwa na jeshi la polisi kwa siku kadhaa tangu kufanyika kwa mnada huo baada ya kushindwa kulipa malipo ya awali aliyotakiwa kulipa, amepata fursa ya kukutana na viongozi mbalimbali wa Kampuni ya Global Publishers na wafanyakazi ambapo pamoja na mambo mengine, amefanya mahojiano ‘exclusive’ yanayopatikana Global TV Online kupitia Youtube. Subscribe Global TV Online muda huu bonyeza link hii https://www.youtube.com/user/uwazi1

Leave A Reply