The House of Favourite Newspapers

King Kiba Akimbiza Mwizi Kimyakimya

0

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anakimbiza mwizi kimyakimya baada ya kufikisha jumla ya streams milioni 28.3 kupitia nyimbo zake zote zinazopatikana katika mtandao wa kusikiliza muziki wa Boomplay.

Albam yake mpya ya Only One King peke yake ina jumla ya streams milioni 18.6.

Kwa upande wa Mtandao wa Audio Mack, King Kiba ana jumla ya streams milioni 20 na albam yake ya Only One King ina jumla ya ya streams milioni 10.9.

STORI; SIFAEL PAUL, DAR

Leave A Reply