The House of Favourite Newspapers

Kiwanda Cha GSM Chaungua Moto – Video

0


TAARIFA zilizotufikia hivi punde asubuhi ya leo Machi 13, ni kwamba Kiwanda cha GSM Industrial Park cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo eneo la Mikocheni (karibu na Cocacola) Jijini Dar es Salaam kimeteketea kwa moto uliozuka ghafla asubuhi ya leo.

 

Jitihada za kuuzima moto huo ambao bado chanzo chake hakijafahamika bado zinaendelea. Endelea kukaa karibu na Global TV kwa ajili ya Updates zaidi ambapo baadae tutafahamu madhara yaliyosababishwa na moto huo na nini hasa chanzo chake. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply