The House of Favourite Newspapers

Kumbe Uwoya na Lulu Diva Walikuwa Wanapishana Kwa Baga, Majirani Wafunguka | Mpaka Home -Video

0


Mpaka Home imemtimbia msanii wa kitambo wa Bongo Movie, Baga na kupiga naye stori kibao kuhusu maisha yake binafsi pamoja na maisha ya kisanii. Lakini pia Global TV ikazungumza na majirani ambao wamedai jamaa enzi zake alikuwa kiwembe, akitoka na mastaa kibao waliokuwa wakipishana nyumbani kwake, akiwemo Lulu Diva na Irene Uwoya.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply