The House of Favourite Newspapers

Kwa Heri Mama Shigongo

Mwili wa marehemu Bi. Asteria Kahabi Kapela ukiingia katika Parokia ya Mt. Agata lilopo Mikocheni B kwa ajili ya kufanyiwa Misa leo.
Wajukuu wa marehemu wakiingia kanisani na Jeneza lilobeba mwili wa marehemu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric James Shigongo (kushoto) akiangalia jeneza lilobeba mwili wa mama yake.
Jeneza lilobeba mwili wa marehemu likiwa kanisani
Wajukuu wakiwa ndani ya kanisa

Comments are closed.