The House of Favourite Newspapers

Lil Wayne Aachia Bonge la Albamu Mpya ‘Tha Carter V’

Image result for lil wayne and drake

HATIMAYE mwanamuziki Mmarekani, Lil Wayne, amezindua albam yake ya Tha Carter V  ambayo imemchukua miaka ipatayo sita kuiachia kutokana na masuala ya kisheria.

Image result for lil wayne tha carter v

Akizungumza na vyombo vya habari, Wayne alisema anasikitika hakuweza kumshirikisha mwanamuziki Drake katika albam hiyo kutokana na masuala ya kisheria, japokuwa alimshirikisha kikamilifu siku ya uzinduzi.

Albam hiyo yenye nyimbo 23 inawajumuisha wanamuziki Kendrick, Travis Scott, Nicki Minaj, Sampha, Snoop Dogg, na wengine wengi.

Image result for lil wayne tha carter v

 

Credit: Pitchfork.com

Comments are closed.