The House of Favourite Newspapers

Limao na tango kwa kutibu chunusi

0

lemonLeo kwenye safu hii nitaongelea tiba ya chunusi, kwa wenye chunusi sugu mnaweza kusoma dondoo hizi ili kuondoa tatizo.

Barafu

Futa ngozi yako na barafu inasaidia kukomaza ngozi na itakufanya uonekana bado kijana, kama una chunusi itakupa ulinzi.

 Liwa na maji ya Rose

Paka mchanganyiko wa Liwa na Rose kila siku kisha lala, ukiamka asubuhi oga upake losheni unayotumia utaona matokeo.

Tango

Unaweza kutumia juisi ya tango na limao kupaka kwenye chunusi zako pia inatibu.

Asali na limao

Kama huwezi kupaka limao pekee unaweza kutumia asali na juisi ya limao, lakini kwa watu wenye ngozi ya mafuta wasitumie asali.

Leave A Reply