The House of Favourite Newspapers

Lissu Atinga Buchosa Kumnadi Mgombea Wake, Ajiombea Kura – Video

0

MGOMBEA Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, ameendelea na kampeni zake ambapo amefika Mwanza kwenye wilaya ya Sengerema jimbo la Buchosa.

 

Tundu Lissu amewaomba kura wananchi wa Buchosa na pia amewanadi wagombea ubunge na udiwani wa jimbo hilo akisema ni wachapakazi na wanaokwenda kuzungumza na sio kuwa mabubu.

 

Leave A Reply