The House of Favourite Newspapers

Meza ya Wazalendo… Makamba, Shaka, Shigongo Wafunguka

0

LILE Kongamano la MEZA YA WAZALENDO lililokuwa likisubiliwa kwa hamu hatimaye limefanyika leo katika Ukumbi wa Nkurumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

 

Wanahabari wakichukua tukio hilo.

Kongamano hilo ambalo limeandaliwa na Taasisi ya Vijana Wazalendo wa Kitanzania – Tanzania  Youth Patriots (TYP), limefanyika kuanzia saa 7:00 mchana ambapo wazungumzaji wote walipata fursa ya kutoa maoni yao kuhusu uzalendo na namna ya kuwa mzalendo katika nchi ya Tanzania.

 

Wanafunzi waliohudhuria kwenye kongamano hilo.

Wazungumzaji waliokuwepo ni;

Mgeni Rasmi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba.

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba.

Mgeni wa Heshima ni Mtangazaji wa Kimataifa kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA) ambaye ni mhariri wa idara hiyo na mtangazaji wa Kipindi cha Straight Talk Africa, Shaka Ssali.

Kutoka kushoto ni mhamasishaji, Eric Shigongo, Mratibu wa Kongamano hilo, Vianelly Nchimbi, Shaka Ssali na Lawrence Marsha.

Watoa mada ni Maria Sarungi Tsehai, Lawrence Masha, Eric Shigongo, Mzee Shaba na Benjamin Fernandes.

 

January Makamba akifungua Kongamano hilo.

 

Wazungumzazi wakimsikiliza Maria Sarungi (hayupo pichani).

 

Shaka Ssali akifunguka.

 

Wadau wakifuatilia kongamano hilo.

 

Mke wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo, Veneranda Ephraim na watoto wake wakifuatilia kongamano hilo.

NA DENIS MTIMA | GPL

Leave A Reply