The House of Favourite Newspapers

LIVE: Kuaga Mwili wa Marehemu ‘Bikira wa Kisukuma’, Leaders Club

0

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa EFM Radio ya jijini Dar es Salaam, Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma (31) unaagwa leo katika Viwanja vya Leaders vilivyopo Kinondoni, Dar ambapo baadaye atazikwa katika makaburi ya Kinondoni.

 

Global TV Online ipo LIVE kukuletea tukio zima la kuaga mwili wa marehemu Seth.

 

Leave A Reply