Membe Arejesha Fomu ya Urais, NEC Yamteua – Video

TUMEya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar Fakih Hamad, kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, 2020. Membe ni mgombea wa tisa kuteuliwa.

Toa comment