LIVE: Rais Magufuli Akizindua Barabara ya Uyovu Bwanga, Geita (Video)
#MagufuliBukombe #Geita Shirikianeni na vyama vingine vyote kwa sababu maendeleo hayana chama – Rais @MagufuliJP akiwaasa viongozi wa CCM wilayani Bukombe. #UzinduziWaBarabara pic.twitter.com/Lkx9iNAWI7
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
#GEITA Sasa wewe unaona naanza kuzungumza , na wewe unafungua makaratasi yako, si umpelekee mke wako, nimeshasema haya yote nayafahamu – Rais @MagufuliJP akimuambia mmoja kati ya wananchi waliopo kwenye mkutano wa #UzinduziWaBarabara pic.twitter.com/IrnAzieB30
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
#MagufuliBukombe #Geita Watu wanajiandikisha wanasema yeye ana digrii sijui ngapi, kumbe hata darasa la pili hajafika, watu kama hao ni lazima tuwafute – Rais @MagufuliJP #UzinduziWaBarabara pic.twitter.com/0L4qnV4Rsz
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
#MagufuliBukombe: Katika barabara hii na wa CHADEMA ndiyo wanaenda kuandamana mule – Rais @MagufuliJP #UzinduziWaBarabara pic.twitter.com/QIafzKjcfj
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
#GEITA: Pasingekuwa an amani, hii barabara isingetengenezwa, ingetumika hiyo hela kwenda kutengeneza Amani ya nguvu – Rais @MagufuliJP #MagufuliBukombe pic.twitter.com/Rmhh26XfPO
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
Kusingekuwa na amani barabara zisingejengwa Bukombe. – Rais @MagufuliJP #MagufuliBukombe pic.twitter.com/vbss1KKfAU
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
#GEITA Watanzania hawapaswi kuwa masikini, Tanzania ni tajiri, hapa Makabe kuna mtu alikuwa anakata mti akakutana na dhahabu. – Rais @MagufuliJP #MagufuliBukombe pic.twitter.com/2bcabXBBQv
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
#MagufuliBukombe: Nimekuwa mbunge kwa miaka 20, nikawa waziri wa mwaka 20, ninaifahamu Bukombe, ninafahamu mlipotoka, ninafahamu mnakoelekea. Bukombe hii haikuwa hivi – Rais @MagufuliJP pic.twitter.com/AhWOSinDLe
— Global Publishers (@GlobalHabari) March 10, 2018
Comments are closed.