The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Azindua Tawi la NMB – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amezindua Jengo la PSPF la ghorofa 11 na tawi la benki ya NMB(NMB Kambarage)

Ujenzi wa jengo hilo lililosanifiwa na kujengwa na Watanzania umegharimu kiasi cha fedha cha Tsh. Bilioni 30.5

Aidha, Rais Magufuli amekataa kufuta hati ya viwanja vya Ubalozi wa Zimbabwe na Wizara ya Kazi kama alivyoombwa na Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF na kumshauri avinunue kama anavihitaji.

Comments are closed.