The House of Favourite Newspapers

Live: Rais Museveni Awasili kwa Ziara ya Kikazi Nchini

0

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania leo Alhamisi, Mei 20, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Akiwa nchini Rais Museveni na Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa mikataba ya bomba la mafuta la Hoima-Tanga kati ya Tanzania na kampuni za uwekezaji katika mradi huo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply