The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Anawatunuku Nishani Ya Miaka 60 Ya Uhuru, Viongozi Wa Vyombo Vya Ulinzi-Video

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Nishani ya Miaka 60 ya Uhuru, Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 09 Desemba, 2021.

Leave A Reply