The House of Favourite Newspapers

Live: Rais Samia Aongonza Ufunguzi wa Mkutano wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi

0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Novemba 15 amekuwa Mgeni kwenye Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi Tanzania cha Mwaka 2021, Ngome ya Lugalo, Dar es Salaam.

 

Leave A Reply