The House of Favourite Newspapers

Shughuli ya Kuaga Mwili wa Balozi Kijazi Dar – Video

0

Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi umetolewa nyumbani kwake, Mbweni JKT na kupelekwa katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa Kitaifa leo Februari 19, 2021, kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Tanga kwa ajili ya maziko.

Viongozi mbalimbali tayari wamejitokeza kwenye Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kumuaga Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, miongoni mwa viongozi hao ni Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete, IGP Simon Sirro na Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally.

Leave A Reply