The House of Favourite Newspapers

Wizara ya Afya Yazindua Mpango Shirikishi wa Takwimu za Afya

0

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na wafadhili, wamezindua rasmi mfumo maalum wa kukusanya taarifa kuhusu sekta ya afya nchini nzima, kwa mifumo ya kielektroniki ili kuwezesha wizara kuwa na taarifa kamili kuhusu takwimu zote zinazohusu Sekta ya Afya.

Uzinduzi wa mpango huo maalum, umefanyika leo kwenye Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar es Salaam ambapo maafisa kutoka Wizara ya Afya sambamba na wafadhili, walishiriki kikamilifu.

Shuhudia Uzinduzi Huo

Leave A Reply