The House of Favourite Newspapers

LIVE Yanayojiri Bungeni Leo, Wabunge Wapya CUF Waapishwa

0

MKUTANO wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Jumanne Septemba 5, 2017 ambapo katika kikao cha kwanza wabunge saba wa viti maalum kutoka Chama cha Wananchi (CUF) walioteuliwa hivi karibuni na Tume ya Uchaguzi wamekula kiapo cha uaminifu bungeni ili kuanza kulitumikia Bunge na Taifa.

Baada ya kiapo hicho itafuatia uwasilishwaji wa miswada mbalimbali kwa ajiri ya marekebisho ya sheria ikifuatiwa na kipindi cha maswali na majibu ya kawaida.

 

Leave A Reply