The House of Favourite Newspapers

Simba Queen Bingwa wa Ligi ya Wanawake

0

TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi ya wanawake tanzania Bara baada ya kuibuka na Ushindi wa bao 1-0 dhidi  Baobab Queens kwenye uwanja wa Jamhuri jijin Dodoma

 

Wapinzani wao wa Jadi Yanga Princess licha ya kuibuka na Ushindi Mzito dhidi ya  Alliance girls wa mabao 6-0 umeshindwa kuwasaidia baada ya kuzidiwa alama na Simba Queens.

 

Simba Queens Wanashinda ubingwa huo kwa mara ya pili mfululizo

 

Leave A Reply