ZITTO Alipuka JPM Kuwatumbua Mawaziri Wake – Video

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe na Mshauri wa chama hicho Maalim Seif leo wamekutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuzungumzia masuala mbalimbali ukiwemo mkakati wa kukijenga chama hicho.

 

Mbali na hayo, viongozi hao wamezungumzia pia tukio la Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph kakunda kisha kumtua Innocent Bashungwa kushika nafasi hiyo.

LIVE: ZITTO KABWE Alipuka MAGUFULI Kuwatumbua Mawaziri Wake

Toa comment