Video: Rais Samia anahutubia muda huu mbele ya Rais wa Botswana, Ikulu DSM.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu, leo juni 10, amempokea Rais wa Botswana, Mokgweets Masisi, ambaye amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxTecno


Toa comment