The House of Favourite Newspapers

Lorraine jukwaani Miss World Universe Marekani leo

0

lorraine 2
Mrembo anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World Universe 2015, Lorraine Marriott, leo anatarajia kupanda kujwaani jijini Las Vegas nchini Marekani kwenye fainali za michuano hiyo.

lorraine
Lorraine mwenye miaka 19 anapambana kuiwakilisha vyema Tanzania baada ya mwakilishi mwingine kutoka nchini, Lilian Kamazima kushindwa kufurukuta katika fainali za mashindano ya Miss World 2015 yaliyofanyika jana huko Sanya nchini China na Miss Hispania, Mireia Lalaguna Royo kuibuka kidedea.

GPL inamtakia kila la kheri Lorraine katika fainali hizo.

Leave A Reply