The House of Favourite Newspapers

Lulu Amtolea Mtu Uvivu, Kisa Mimba

0

MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye ameolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Radio EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa video zikimuonesha akiwa mjamzito.

Lulu amekuwa akifichaficha ujauzito huo ilihali unaonekana kabisa, jambo ambalo limesababisha baadhi ya watu kumsemasema kwenye mtandao wa kijamii kitu kilichopelekea Lulu kumtolea uvivu mmoja wa mashabiki hao.

 

Kuwepo kwa maoni mengi huku akitakiwa kuachia mimba ili watu waone, ndipo Lulu akajibu; “Tabu ninayopata ni kama unayopata wewe ku-comment kwa mhaho na hakuna mimba yako iliyopotea!”

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply